Ppr ufundi wa kisasa kazi bora kisasa

Imethibitishwa ubora ,kunywa maji yaliyo salama,na mfumo wa ppr (modern world )

Modern plumbing with modern plumbers company,@arusha plumbers ltd,

Ppr piping system sahau kutu  kwenye  maji ya kunywa,pata maji salama

Saturday, October 15, 2016

BEI POA KAMPUNI MAKINI

Karibu Arusha plumbers bie zetu ni nafuu na kazi yetu ni bora kwa wale wenye huitaji wa mafundi bomba  makini  ,tupo kwa ajili yako kwa utaalam uliotukuka