Tuesday, December 13, 2016

2016 imepita tunajiandaa kuikaribisha2017 wapendwa Wateja wetu sisi arusha plumbers, tunawapongeza kwa mchango wenu katika kuinyanyua secta ya ujenzi Tanzania kwa kuichagua kampuni yetu katika site zenu tunawashukuru kwa kutuamini karibuni sana asanteni.

Shukrani za dhati kwa Wateja wetu wote.

No comments:

Post a Comment